sw_job_text_reg/27/06.txt

1 line
170 B
Plaintext

\v 6 Naishikilia haki yangu na sitaiacha; nafsi yangu haitanisuta kadili ninavyoishi. \v 7 Adui yangu na awe kama mwovu; anayeinuka kunyume changu na awe kama asiye haki.