\v 1 Ayubu akaendelea kuoengea na kusema, \v 2 "Kama aishivyo Mungu, ameniondolea haki yangu, Mwenyezi, aliyeyafanya machungu maisha yangu, \v 3 kadili uhai ungalimo ndani yangu uzima wa Mungu upo puani mwangu.