sw_job_text_reg/26/07.txt

1 line
154 B
Plaintext

\v 7 Huitandaza kaskazi juu ya nafasi wazi na kuining'iniza dunia hewani. \v 8 Huyafunga maji katika mawingu yake mazito, lakini hayagawanyiki chini yake.