sw_job_text_reg/23/13.txt

1 line
185 B
Plaintext

\v 13 Lakini yeye ni wa pekee, naniawezaye kumgeuza? Analolitaka, hulitenda. \v 14 Kwa maana hulitimiza agizo lake kinyume changu; anamipango mingi kwa ajili yangu; ipo mingi kama hiyo.