sw_job_text_reg/23/06.txt

1 line
170 B
Plaintext

\v 6 Je angehojiana nami katika ukuu wa nguvu zake? Hapana, angenisikiliza. \v 7 Pale mwenye haki angehojiana nami. Kwa njia hii ningeonekana bila hatia kwa mwamzi wangu.