sw_job_text_reg/23/03.txt

1 line
214 B
Plaintext

\v 3 Ee, ningejua niwezapokumwona! Ee, kwamba ningeweza kwenda alipo! \v 4 Ningeweka shitaka langu mbele yake na kukijaza kinywa changu hoja. \v 5 Ningejua ambavyo angenijibu na kufahamu ambavyo angesema juu yangu.