sw_job_text_reg/22/23.txt

1 line
210 B
Plaintext

\v 23 Ukimrudia Mwenyezi, utajengwa, ukiacha kutenda uovu makaoni mwako. \v 24 Weka hazina zako mavumbini, dhahabu ya Ofiri kati ya mawe ya vijito, \v 25 na Mwenyezi atakuwa hazina zako, fedha ya thamani kwako.