sw_job_text_reg/22/18.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 18 Hata hivyo bado alizijaza nyumba zao kwa mema; mipango ya waovu iko mbali nami. \v 19 Wenye haki wanayaona yawapatayo waovu na kufurahi; wasio na hatia wanawacheka kwa dhihaka. \v 20 Wanasema, 'Bila shaka walioinuka kinyume chetu wameondolewa; moto umeteketeza mali zao.'