sw_job_text_reg/22/15.txt

1 line
219 B
Plaintext

\v 15 Je utayaishi maisha ya zamani walioishi waovu - \v 16 walioondolewa kabla ya siku zao, ambao misingi yao imeondolewa kama mto, \v 17 waliomwambia Mungu, 'Ondoka kwetu'; waliosema, 'Mwenyezi anaweza kututenda nini?