sw_job_text_reg/22/09.txt

1 line
180 B
Plaintext

\v 9 Umewaacha wajane waondoke bila kitu; umewatesa yatima. \v 10 Kwa hiyo, mabaya yanakuzunguka, na hofu za ghafla zinakusumbua. \v 11 Kuna giza, hata usione; gharika inakufunika.