sw_job_text_reg/22/06.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 6 Kwa maana umechukua dhamana kutoka kwa ndugu yako bila sababu; umechukua mavazi ya mtu na kumwacha uchi. \v 7 Haukuwapa wenye kiu maji ya kunywea; umewanyima chakula wenye njaa \v 8 japokuwa wewe, mwenye uwezo, uliimiliki nchi, japokuwa wewe, mwenye kuheshimiwa, uliishi ndani yake.