sw_job_text_reg/22/01.txt

1 line
218 B
Plaintext

\v 1 Kisha Elifazi Mtemani akajibu na kusema, \v 2 Je mtu anaweza kumfaa Mungu "Je mwenye hekima anaweza kufaa kwake. \v 3 Je inafurahisha kwa Mwenyezi ikiwa u mwenye haki? Je ni faida yake ukiyafanya safi maisha yako?