sw_job_text_reg/20/01.txt

1 line
269 B
Plaintext

\v 1 Ndipo Sofari, Mnaamathi alijibu na kusema, \v 2 "Mawazo yangu yananifanya mimi nijibu kwa haraka kwa sababu ya mashaka yaliyomo ndani yangu mimi. \v 3 Mimi ninasikia kukemewa ambako kunaniondolea heshima mimi, lakini roho kutoka katika ufahamu wangu hunijibu mimi.