sw_job_text_reg/19/07.txt

1 line
340 B
Plaintext

\v 7 Tazama, Mimi ninalia kwa sauti, "dhuluma!" lakini sipati jibu. Mimi ninaita kwa ajili ya msaada, lakini hakuna haki. \v 8 Yeye ameiwekea ukuta njia yangu, ili kwamba mimi nisiweze kupita, na yeye ameweka giza katika njia yangu. \v 9 Yeye ameniondoa Mimi kutoka katika utukufu wangu, na ameichukua taji kutoka kwenye kichwa changu mimi.