sw_job_text_reg/18/05.txt

1 line
160 B
Plaintext

\v 5 Ni dhahiri, nuru ya watu waovu itawekwa nje; cheche ya moto wake haitanga'ra. \v 6 Nuru itakuwa giza katika hema yake; taa yake juu yake yeye itawekwa nje.