1 line
412 B
Plaintext
1 line
412 B
Plaintext
\v 13 Tangu mimi nitazame katika Kuzimu kama nyumbani kwangu; tangu Mimi nimetandaza kiti changu katika giza; \v 14 tangu Mimi nimesema na shimo 'Wewe ni baba yangu,' na kwa funza, 'Wewe ni mama yangu au dada yangu; \v 15 liko wapi tena tumaini langu? Kama kwa tumaini langu, nani awezaye kuona chochote? \v 16 Tumaini litakwenda pamoja na mimi katika milango ya Kuzimu wakati sisi tutakapokwenda katika mavumbi? |