1 line
284 B
Plaintext
1 line
284 B
Plaintext
\v 4 Dhahiri, wewe wafifisha heshima ya Mungu; Wewe wazuia heshima kwa yeye, \v 5 kwa maana uovu wako hufundisha midomo yako; Wewe wachagua kuwa na ulimi wa mtu mwenye hila. \v 6 Mdomo wako mwenyewe hukukukumu wewe, siyo wangu; hakika, midomo yako mwenyewe hushuhudia dhidi yako wewe. |