sw_job_text_reg/14/18.txt

1 line
234 B
Plaintext

\v 18 Lakini hata milima huanguka na kuwa si chochote; hata miamba huhamishwa kutoka mahali pake; \v 19 maji yaliyokuwa chini ya mawe; kufurika kwake huondoa mbali mavumbi ya nchi. Kama hivi, ninyi mnavyoharibu matumaini ya mwanadamu.