sw_job_text_reg/14/07.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 7 Kunaweza kuwa na tumaini kwa mti; kama ukikatwa chini, unaweza kuchipua tena, hivyo chipukizi lake halitapotea. \v 8 Japokuwa mizizi yake inakua na kuzeeka katika ardhi, na shina lake kufa katika udongo, \v 9 hata kama bado lina harufu ya maji pekee, litachipua tena na kutoa nje matawi kama mche.