sw_job_text_reg/14/01.txt

1 line
282 B
Plaintext

\v 1 Mwanadamu, ambaye amezaliwa na mwanamke, huishi siku chache tu na amejaa mahangaiko. \v 2 Yeye huchanua kutoka katika ardhi kama ua na kukatwa chini; yeye hukimbia kama kivuli na hawezi kudumu. \v 3 Je, wewe unatazama chochote katika hivi? Mnanileta mimi hukumuni pamoja nanyi?