sw_job_text_reg/12/19.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 19 Yeye huwaongoza makuhani mbali bila kuvaa viatu na kuwapindua watu wakuu. \v 20 Yeye huondoa hotuba ya wale waliokuwa wameaminiwa na huondoa mbali ufahamu wa wazee. \v 21 Yeye humwaga aibu juu ya binti za wafalme na hufungua mishipi ya watu wenye nguvu.