sw_job_text_reg/12/13.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 13 Pamoja na Mungu mna hekima na ukuu; yeye anayo mashauri na ufahamu. \v 14 Tazama, yeye huangusha chini, na haiwezekani kujengwa tena; kama yeye akimtia gerezani mtu yeyote, hakutakuwa tena kufunguliwa. \v 15 Tazama, kama yeye akiyazuia maji, yanakauka; na kama akiyaachilia nje yanaitaabisha ardhi.