sw_job_text_reg/12/07.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 7 Lakini sasa waulize hao wanyama wa mwituni, na watakufundisha wewe; waulize ndege wa angani, na watakuambia wewe. \v 8 Au iambie ardhi, na itakufundisha wewe; samaki wa baharini watakutangazia wewe.