sw_job_text_reg/12/01.txt

1 line
208 B
Plaintext

\v 1 Ndipo Ayubu akajibu na kusema, \v 2 "Hakuna shaka ninyi wanadamu; Hekima mtakufa nayo. \v 3 Lakini nina ufahamu kama vile ninyi; Mimi siyo duni kwenu. Ni dhhiri, ni nani asiyefahamu vitu hivyo kama hivi?