sw_job_text_reg/09/21.txt

1 line
400 B
Plaintext

\v 21 Mimi ni mtakatifu, lakini siijali zaidi nafsi yangu; Naudharau uhai wangu mwenyewe. \v 22 Haileti tofauti yoyote, kwa sababu hiyo nasema kwamba yeye huangamiza watu wasio na makosa na waovu pia. \v 23 Kama hilo pigo likiua ghafla, yeye atafurahi mateso yake mtu asiye na kosa. \v 24 Dunia imetiwa mkononi mwa watu waovu; Mungu hufunika nyuso za waamuzi wake. kama si yeye hufanya, ni nani basi?