sw_job_text_reg/09/16.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 16 Hata kama ningelimwita na yeye akanitikia, nisingeamini kuwa ameisikia sauti yangu. \v 17 kwa kuwa yeye anidhoofishaye kwa dhoruba na kuyaongeza majeraha yangu pasipo sababu. \v 18 Yeye hataki hata kuniruhusu nipate kuvuta pumzi; badala yake, hunijaza uchungu.