sw_job_text_reg/08/13.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 13 Hivyo pia njia ya wote wamsahauo Mungu, na matumaini ya asiyeamini Mungu yatatoweka. \v 14 Ujasiri wake utavunjika, na matumaini yake ni dhaifu kama utando wa buibui. \v 15 Ataitegemea nyumba yake, lakini haitamsaidia; atashikamana nayo, lakini isidumu.