sw_job_text_reg/07/01.txt

1 line
266 B
Plaintext

\c 7 \v 1 Je mtu hana kazi ngumu juu ya nchi? Je siku zake si kama siku za mwajiriwa? \v 2 Kama mtumwa anayetamani sana kivuli cha jioni, kama mwajiriwa atafutaye ujira wake - \v 3 hivyo nami nimeumbwa kuvumilia miezi ya taabu; Nami nimepewa taabu - zimeujaza usiku.