sw_job_text_reg/06/18.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 18 Misafara ambayo husafiri kwa njia yao hugeuka na maji; huzurura jangwani na kisha hupotea. \v 19 Misafara kutoka Tema huitazama, wakati majeshi ya Sheba huitarajia. \v 20 Wamevunjika moyo kwa sababu walitumaini kupata maji. Wakaenda huko, lakini walidanganywa.