sw_job_text_reg/05/11.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 11 Hufanya haya kwaajili ya kuwainua juu hao walio chini; huwapandisha sehemu salama hao waombolezao. \v 12 Yeye huharibu mipango ya watu wenye hila, ili mikono yao isipate mafanikio. \v 13 Yeye huwanasa watu wenye hekima katika matendo ya hila zao wenyewe; mipango ya watu waliogeuzwa huharibika haraka.