sw_job_text_reg/05/01.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 1 Ita sasa; je kuna yeyote ambaye atakujibu? Utamrudia yupi katika watakatifu hao? \v 2 Kwa kuwa hasira huua mtu mpumbavu; wivu huua mjinga. \v 3 Nimemuona mtu mpumbavu akishika mzizi, lakini ghafla niliyalaani makazi yake.