sw_job_text_reg/03/01.txt

1 line
189 B
Plaintext

\c 3 \v 1 Baada ya hayo, Ayubu alianza kusema na kuilani siku aliyozaliwa. \v 2 Akasema, \v 3 "Na ipotelee mbali siku niliyozaliwa mimi, usiku uliosema, 'Mimba ya mtoto wa kiume imetungwa.'