sw_job_text_reg/02/09.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 9 Kisha mkewe akamuuliza, "Je hata sasa wewe unashikamana na utimilifu wako? Umkufuru Mungu na ufe. \v 10 Lakini yeye akamwambia, "Wewe unaongea kama mmoja wa hao wanawake wapumbavu waongeavyo. Je sisi tupate mema toka kwa Mungu na tusipate mabaya?" Katika mambo hayo yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa midomo yake.