sw_job_text_reg/23/01.txt

1 line
142 B
Plaintext

\c 23 \v 1 Kisha Ayubu akajibu na kusema, \v 2 "Hata hivi leo malalamiko yangu ni machungu; maumivu yangu ni mazito kuliko manung'uniko yangu.