sw_job_text_reg/36/27.txt

1 line
280 B
Plaintext

\v 27 Kwa kuwa yeye huvuta matone ya maji ili kuyachuja kama mvua katka mvuke wake, \v 28 ambayo mawingu yake huyamwaga chini na kuyandondosha kwa wingi kwa mwanadamu. \v 29 Hakika, kuna hata mmoja awezaye kuelewa kwa undani kusambaa kwa mawingu na radi kutoka katika nyumba yake?