sw_job_text_reg/36/13.txt

1 line
188 B
Plaintext

\v 13 Na wale wasiomjua Mungu hutunza hasiria zao katika mioyo; hawaombi msaada hata wakati ambapo Mungu huwafunga. \v 14 Hawa hufa katika ujana wao; na maisha yao hukoma kati ya makahaba.