sw_job_text_reg/36/01.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 1 Elihu aliendelea na kusema, \v 2 "Niruhusu niseme kidogo zaidi, nami nitakuonesha baadhi ya mambo kwasababu nina maneno machache ya kusema kwa ajili ya Mungu. \v 3 Nitapata maarifa yangu kutoka mbali; nitatambua kwamba haki ni ya Muumba wangu.