sw_job_text_reg/35/06.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 6 Kama umetenda dhambi, ni madhara gani huwa unayafanya kwa Mungu? Ikiwa makosa yako yameongezeka zaidi, je huwa unafanya nini kwake? \v 7 Kama wewe ni mwenye haki, unaweza kumpa nini? Je atapokea nini mkononi mwako? \v 8 Uovu wako waweza kuwaumiza mtu, kama ulivyo wewe ni mtu, na haki yako yaweza kumnufaisha mwana mwingine wa mtu.