sw_job_text_reg/35/04.txt

1 line
129 B
Plaintext

\v 4 Nitakujibu, wewe pamoja na marafiki zako. \v 5 Tazama juu angani, na ulione; angalia anga, ambalo liko juu sana kuliko wewe.