sw_job_text_reg/35/01.txt

1 line
210 B
Plaintext

\v 1 Aidha, Elihu aliendelea kusema, \v 2 "Je unadhani hii ni sawa unaposema, 'Haki yangu mbele ya Mungu? \v 3 Kwa kuwa unauliza, 'Inafaa nini kwangu' na 'Ingekuwa nzuri kwangu kama ningekuwa nimetenda dhambi?'