sw_job_text_reg/34/34.txt

1 line
163 B
Plaintext

\v 34 Watu wenye ufahamu wataniambia, kwa kweli, kila mtu mwenye hekima ambaye hunisikia atasema, \v 35 Ayubu anazungumza bila maarifa; maneno yake hayana hekima.'