sw_job_text_reg/34/16.txt

1 line
209 B
Plaintext

\v 16 Kama sasa mna ufahamu, sikilizeni haya; sikilizeni sauti ya maneno yangu. \v 17 Je yeye anayeichukia haki aweza kutawala? Je mtamhukumu Mungu kuwa ni mwenye makosa, ambaye ni mwenye haki na mwenye nguvu?