sw_job_text_reg/34/13.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 13 Ni nani aliyemweka kuwa mtawala wa dunia? Ni nani aliyeiweka dunia yote chini yake? \v 14 Ikiwa aliweka makusudio yake juu yake mwenyewe, na kama amejikusanyia mwenyewe nafsi yake na pumzi yake, \v 15 basi miili yote itateketea pamoja; mwanadamu angerudi mavumbini tena.