sw_job_text_reg/34/07.txt

1 line
271 B
Plaintext

\v 7 Ni mtu gani aliye kama Ayubu ambaye hunywa dharau kama maji, \v 8 ambaye huzunguka katika ushirika wa watu ambao ni waovu, na ambaye hutembea pamoja na watu waovu? \v 9 Kwa kuwa anasema, ' Hakuna faida kwa mtu kujifurahisha kwa kufanya mambo ambayo Mungu anayataka.'