sw_job_text_reg/34/01.txt

1 line
214 B
Plaintext

\c 34 \v 1 Zaidi ya hayo, Elihu aliendelea kusema: \v 2 "Sikilizeni maneno yangu, ninyi watu wenye hekima; nisikieni, ninyi mlio na maarifa. \v 3 Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno kama ambavyo mpishi huonja chakula.