sw_job_text_reg/33/16.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 16 basi Mungu hufungua masikio ya watu, na kuwatisha kwa vitisho, \v 17 kwa kusudi la kumvuta mtu atoke katika makusudio yake maovu, na kuyaweka majivuno mbali naye. \v 18 Mungu huyaokoa maisha ya mwanadamu kutoka katika shimo, na uhai wake dhidi ya kifo.