sw_job_text_reg/33/13.txt

1 line
272 B
Plaintext

\v 13 Kwanini unashindana naye? Huwa hahesabu matendo yake yoyote. \v 14 Kwa kuwa Mungu huzungumza mara moja, naam, mara mbili, ingawa mwanadamu hawezi kutambua. \v 15 Katika ndoto, katika maono ya usiku, wakati usingizi mzito unapowapata watu, katika usingizi kitandani -