sw_job_text_reg/33/10.txt

1 line
238 B
Plaintext

\v 10 Tazama, Mungu huona nafasi za kunishambulia mimi; huniangalia mimi kama adui yake. \v 11 Huweka miguu yangu akiba; naye huangalia njia zangu zote.' \v 12 Tazama, katika hili hauko sawa, nitakujibu, kwa kuwa Mungu ni mkuu kuliko mtu.