sw_job_text_reg/33/08.txt

1 line
161 B
Plaintext

\v 8 Umesema kwa hakika katika masikio yangu; nimeisikia sauti ya maneno yako ukisema, \v 9 'Mimi ni safi na bila hila; sina hatia, na hakuna dhambi ndani yangu.