sw_job_text_reg/25/01.txt

1 line
206 B
Plaintext

\c 25 \v 1 Kisha Bilidadi kutoka kambila la Washuhi akajibu na kusema, \v 2 "Utawala na hofu vipo naye; anaagiza mahali pa juu pake mbinguni. \v 3 Je kuna idadi ya majeshi yake? Ni wapi pasipo na nuru yake?